MAANA YA DIVAI

KUNA MADA HUMU INAENDELEA NAMI SIWEZI KUKAA KIMYA WAKATI WATU WANAWEZA POTEZWA,,,,,,,,!!! NAONGELEA KUHUSU KUNYWA POMBE AU DIVAI,,,,,!!! NIVIZURI UNAPOSOMA MAANDIKO UJUE TAMADUNI ZA WAKATI ULE MAANDIKO YALIPOANDIKWA NA TAMADUNI ZA WAKATI HUUU NA MAANA YA NENO LENYEWE DIVAI LINAMAANA GANI,,,!!!! NAANZA NA NENO DIVAI,!!!!! Neno DIVAI LIMETOKANA NA NENO LA KIGIRIKI LINALOITWA IGNIOS,,,,!! MAANA YA NENO HILI KULE ISRAEL LINAMAANA YA DIVAI PIA ILA SASA TUNATOFAUTIANA MTAZAMO!!!!! LABDA NIKUFAHAMISHE KWA MFANO HUU NDIO UTAELEWA,,,, UKIWEKA,, SODA,, BIA,, REDBULL,, MALTA,, FANTA,, SPRITE,, NDOVU,, KILIMANJARO ,, ZOTE HIZI KWA PAMOJA KULE ISRAEL NI DIVAI SASA LINAKUJA WEWE UNATAKA DIVAI GANI,, MAANA HATA FANTA NI DIVAI,, HATA,, MALTA NI DIVAI,, NDIO MAANA KUNA DIVAI ILIYOCHACHUKA NA DIVAI ISIYOCHACHUKA,,, KWA HIYO MATUMIZI YA HILI NENO DIVAI KWETU HUKU NI POMBE ,,, ILA MFANO MWINGINE NI SAWA KUSEMA
 SHAMPENI YENYE KILEVI NA ISIYO NA KILEVI ,,ZOTE NI SHAMPENI ,,, SASA UKIWA ISRAEL ZOTE HIZO NI DIVAI YAANI SHAMPENI YENYE KILEVI NA ISIYO NA KILEVI,,, SASA TUNAONA MATUMIZI YA NENO DIVAI NDIYO YANAYOLETA SHIDA KWETU MAANA KWETU MTU AKISEMA DIVAI MOJA KWA MOJA NI POMBE ,,, ILA KWA UHALISI YA NENO DIVAI NI ILIYOCHACHUKA AU ISIYOCHACHUKA ,,,!!!!! SASA KUMSINGIZI AU KULAZIMISHA KUSEMA YESU ALITENGENEZA DIVAI ILIYOCHACHUKA ,, HAPO NTAKUKATALIA MAPAKA KESHO,,,,,,, NA KWANINI UNANGANGANIA KWAMBA ALITENGENEZA DIVAI KWAMAANA YA POMBE???? NA SI ALITENGENEZA DIVAI ISIYO NA KILEVI.??? NNACHOJUA YESU NINAYEMTUMIKIA ALITENGENEZA DIVAI AMBAYO HAIKUCHACHUKA ILA HUYO ALIYETENGENEZA DIVAI ILIYOCHACHUKA YAANI POMBE SI YESU WANAZARETI NA WALA SI YESU NINAYEMTUMIKIA NA WALA SI YESU NINAYEMSUBIRI ARUDI MARA YA PILI,,,, MAANA YESU AMBAYE NINAMSUBIRI KWA HAMU NI YESU ALIYESEMA,,, WAZINZI,, WATUKANAJI,, WALEVI,,, HAO HAWATAINGIA MBINGUNI NA WENGINE WENGI AMBAO HAWASHIKI SHERIA YAKE,,,!!! KWA HIYO KAMA NI YESU ALIYETENGENEZA POMBE HUYO AKIRUDI BAAASIII WALEVI WOOOTE WATAINGIAAA NA TENA ENDEELEENI KUMSUBIRI NA KUJIFARIJI KUWA KUNYWA POMBE SI DHAMBI,,, ILA. KAMA NI HUYU YESU MNAZARETI BASI NAOMBA WEWE ULIYESOMA UJUMBE HUU UBADILISHE MTAZAMO NA UFUATISHE SALA HIII,,,!!!!!!!!! Sema EEEEEE YESU,, MIMI NI MWENYE DHAMBI,,, SIKUJUA KUNYWA POMBE NI DHAMBI,,, ILA LEO NIMEFAHAMU,,,, NATUBU DHAMBI ZANGU,, NA NAAHIDI KUACHA KABISA,,,, NISAFISHE KWA DAMU YAKO YA THAMANI,,, FUTA JINA LANGU KWENYE KITABU CHA HUKUMU NA ANDIKA JINA LANGU KWENYE KITABU CHA UZIMA,,, NAKUPOKEA SASA BWANA YESU NA UINGIE MOYONI MWANGU SASA ,,, AAAAMEEEEEENNN,!!! BAADA YA SALA HII WEWE SASA UMEOKOKA NA MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI,,,!!!... Fatilia kanisa lenye mafundisho ya kiroho ili uweze kupata mafundisho sahihi ya kukusaidia kukulia wokovu,!!!!! UBARIKIWE NA SIKU NJEMA

Comments

  1. Naona unataka kubadilisha andiko liandike sharubati au juisi na sio divai ukisoma english bible zote zimesema wine sasa tafuta hata kwenye historia kama kulishakuaga na wine ambayo haina alcohol
    Alafu soma 1timotheo 5:23 kama una Roho mtakatifu atakuangaza utaelewa alafu hamna andiko lililosema divai isiyo na kilevi uo nin uongo biblia imeishia diva iliyosafi yani yenye kilevi kidogo lakini hamna divai isio na kilevi ndugu kweny bible

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe sio kweli acha kupotosha wewe wine sio pombe soma maana ya neno wine ni mult-meaning word au is bilateral word usipoteshe watu wewe na uchanga wako wa kiroho wa kulazimisha maandiko yakae kwenye mitazamo yako

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Faida za mti wa Mlonge

NAMNA YAKUTENGENEZA SABUNI AINA ZOTE