Posts

Showing posts from June, 2013

NJIA ZA KUFIKIA MALENGO KATIKA MAISHA

Image
KATIKA sayansi ya mafanikio kuna mambo mengi sana yanahusika kutufikisha pale tunapopataka. Pia kuna njia tofauti zinazopendekezwa na wataalamu wa masuala ya saikolojia. Mfano mwanafilosofia wa Ugiriki, Aristotle anasema: “Binadamu ni kiumbe wa malengo.” Pia kuna watu wanaweza wakahoji kwa nini tuwe na malengo katika maisha yetu ya kila siku. Zifuatazo ni sababu chache tu za kwanini tuwe na malengo. Kwa sababu mafanikio ni malengo na vingine vinafuata kwa hiyo kama unataka mafanikio ya kweli inabidi uwe na malengo, bila malengo unakuwa ni sawa na kisiwa chenye utajiri mwingi, lakini bado hakijavumbuliwa, kwa hiyo jitahidi uwe na malengo ikiwa ndiyo njia ya kufanikiwa. Malengo ni kama mafuta katika safari ya kufanikiwa, umuhimu wa malengo unafananishwa na mafuta katika gari kwani bila mafuta haiwezi kwenda, ni sawa na malengo katika kazi hata kama una bidii sana kufanya kazi bila malengo itakuwa vigumu kupima utendaji wako mwenyewe wa kazi wa kila siku. Malengo yanakusaidia kufikir

HOW TO GET MONEY FAST

Image
Sell things you no longer need. Dig out that old guitar you never play, those CDs you don't listen to anymore, or your antique toy collection. Go to the pawnshop, put an ad on local internet classifieds, or hold a yard sale in front of your house or on a busy street corner (just display the item with a big sign announcing the ridiculously low price). Price items at half of what somebody would be able to buy them for anywhere else, and you may be able to sell them within an hour or two. If you don’t want to part with your CDs or DVDs, burn yourself copies (or even just back them up in digital format on your computer) and then sell the originals. Do not sell the copies! Consider whether or not to sell items online at auction websites like eBay, or more generalist sites like Amazon. If you do, choose a fast end time for the auction or trade, or choose "buy it now" to encourage a swift turnaround. However, if you want cash in your hands quickly, you might

FAHAMU HISA NI NINI

Image
HISA NI NINI? Hisa ni mgao (share) ya umiliki wa kampuni au biashara yoyote kubwa. Unaponunua hisa maana yake umetoa fedha kwa ajili ya uendeshaji wa kampuni au biashara husika kwa hiyo na wewe ni miongoni mwa wamiliki na nguvu au umuhimu wako unatokana na mgao ulionao. Kama kampuni ina mtaji wa shilingi laki moja na wewe umenunua hisa za shilingi elfu hamsini, maana yake utakuwa na nguvu ya kushiriki hata kwenye maamuzi nyeti yahusuyo kampuni au biashara husika, tofauti na mtu mwenye hisa za kwa mfano shilini elfu kumi. Soko la hisa (stock exchange) ni mfumo wa kibiashara ambapo wajasiriamali na wafanyabiashara, hununua vipande (stock) za kampuni au biashara na kuwekeza fedha zao kwenye mtaji kwa lengo la kuisaidia biashara husika kuendelea kukua. Soko kubwa zaidi duniani lipo jijini New York, Marekani likiwa na jina la New York Stock Exchange (NYSE). Kwa mujibu wa shirika la fedha duniani, soko la hisa ndiyo linaloongoza kwa kuingiza fedha nyingi kwenye mzunguko kuliko biashara nying

NJIA YA KUWA MJASIRIAMALI BORA

Image
1. MAWASILIANO NA WAJASIRIAMALI WENGINE Jenga urafiki nao kuwa karibu nao mara kwa mara maana mnafanana katika biashara, toka nao kwenda sehemu mbali mbali ili uweze kujifunza mengi kutoka kwao. 2. DAIMA JIAMINI Amini kuwa kile unachokifanya kipo sahihi na sio kama una bahatisha 3. MATANGAZO NA SOKO Tangaza biashara yako ili uweze kupata wateja wengi zaidi na kuweza kujulikana haraka, soko linakuja kama utakuwa unafahamika. 4. KUTAFUTA NJIA RAHISI Usitumie pesa nyingi sana maana biashara yako ndio kwanza inaanza kwa hiyo unahitajika kuangalia njia rahisi ya kuweza kubana matumizi yako. 5. KUUNGANA NA WAJASIRIAMALI WENGINE KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII Kuna mitandao mingi ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, My Space n.k ni vema kuitumia hii kama kiunganishi kikubwa na wajasiriamali wengine na wateja ili kuweza kuongeza maendeleo. 6. KUTENGENEZA WEBSITE YAKO Kuwa na site yako binafsi ni nzuri maana itasaidia kufanya kazi kwa urahisi na kisasa kabisa, fungua website ya

FAIDA YA PILIPILI MWILINI

Image
The health benefits of consuming peppers on a daily basis are many. They contain essential antioxidants like beta-carotene and Vitamin C. Peppers have been an important part of dietary nutrition for hundreds of years. Peppers are high in vitamins A, C, and K. Let's take a look at each of these vitamins. Vitamin A helps the body in many ways. It's important in maintaining a good immune system. Scientific studies have shown that Vitamin A is beneficial in protecting our bodies from cancers and heart disease. Vitamin C functions as an antioxidant. It's beneficial in preventing heart disease, stroke, eye diseases and certain cancers. As humans, our bodies are not capable of making it's own Vitamin C. Therefore, we must look for foods that are high in Vitamin C to add to our daily diets. Vitamin K helps to promote proper bone health. It's also important to our circulatory system by helping our blood to clot properly. All peppers contain a substance called Capsaicin.
Image
Seeds: Collect ripe fruit and squeeze the seed out in water. Wash the seed thoroughly and dry in the shade. Keep properly dried seeds in a closed container to avoid damage by insects. Land preparation: Soil should be well prepared and mixed with cattle, chicken or compost manure at a rate of one bucket per one metre squared. Establish nurseries in flat areas with fertile soils and near to the water sources but not in shaded areas. No tomato, nightshades, Irish potato or sweet peppers should have been planted there the previous year. Sowing and transplanting: Sow seeds in rows 15-20 centimetres apart and 1 centimetre between seeds within the row. After sowing, cover the seeds with a thin layer of soil followed by watering. Thin seedlings to 1-2 centimetre spacing. Water regularly to avoid drying. Harden off seedlings by slightly reducing the frequency of watering. Transplant after four to six weeks or when they have 4-7 true leaves. Management: The recommended plant spacing

HOW TO BECOME A GOOD SINGER

Steps 1 Go to singing clubs. It helps you to communicate with other people who're interested the same hobbies as you. 2 Sing everyday, everywhere. Sing to your mirror or your dog! Singing everyday helps you to get used to it, and your voice starts to get better everyday. Hiding your voice keeps it dry. Consequently, your voice wouldn't seem comfortable when you sing out loud to people. 3 Watch singing videos. Dancers watch other dancers, authors read other authors and footballers watch other footballers. That's how you learn and get better ideas, and sometimes you can steal a little bit of theirs. However, you need to twist them around and make them to yours so that people won't think your fully copying them. 4 Write songs. When you write songs, it actually makes sense. You get what I mean? Randomly singing anything doesn't seem right. At least spend thirty minutes of your day, writing a song and singing it. T

HATUA 10 ZAKUJIANDAA NA MITHIANI

Image
Hatua 10 za kujiandaa na mitihani     Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa ni wanafunzi wachache ambao hutoka katika vyumba vya mtihani na jibu la uhakika kuwa wamefaulu au wamefeli mitihani yao, hii ikiwa na maana kuwa wengi wao huwa hawafahamu kama majibu walioandika ni sahihi au la, na hivyo kudhani kuwa wasahihishaji wanaweza kuwa na jipya zaidi ya kuwapa mavuno ya kile walichopanda.  Kutapatapa huku kwa majibu hakuna maana nyingine zaidi ya kuutambulisha uwezo duni wa mwanafunzi husika kuwa alipoingia hadi anatoka kwenye chumba cha mtihani hakuwa anajua alichojifunza kabla, alicholetewa kwenye mtihani na alichojibu, ndiyo maana amekosa jibu la uhakika.  Lakini kama angefahamu alichojifunza, kilichotokea na alichojibu, moja kwa moja angeweza kuwaambia wazazi na walezi wake kuwa hakufanya vizuri mtihani wake na hivyo kutupilia mbali subira ya bahati, ambayo katika masomo haipo kwa vile apandacho mtu ndicho avunacho.  Baada ya kusema haya n

NJIA 12 ZA KUFAULU MITIHANI WA MWISHO

Image
                                 STEPS          Review . The final exam is basically a test on everything you have learned. Look at old tests, notes, and attempt to remember what your teacher taught you. Find your weak points . Is there a certain subject in class that you weren't the best in? Make your weak point a best point . As in, study that subject again until you understand it. Study everything again . You don't have to spend hours like you did when you first studied it, but just make sure you have a fair understanding of the subjects. On the night before the exam, get a fair amount of sleep . If possible, try to get 8 hours AVOID TOO MUCH STUDYING. On the morning of the exam, eat a healthy breakfast . (No cookie crisp today!) Try for some scrambled eggs. Make sure you get to the exam on time . Also make sure you dress appropriately. (As in, don't come in wearing your pajamas, just something you would usually wear to school.) Be sure that yo