Posts

Showing posts from March, 2017

PARACHICHI ZA KISASA

Image
  Parachichi za mdamfupi aina ya Hass ni aina ya parachichi ambayo tayari imefanyiwa utaratibu wakuwezesha kuzaa kwa mda mfupi. Hass ni parachichi yenye mafuta mengi kuliko parachichi zote duniani na tamu sanaaa. kwa kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nami: contact: phone:+255752972727 Email: mosesanney@gmail.com

Faida za pilipili kiafya

Image
Japokuwa Pili pili inaliwa na watu wa jamii mbali mbali, Faida na Afya ya kula pilipili wengi hawazijui au hazijulikani na watu wengi. Kwenye pilipili kuna kemikali iitwayo Capsaicin, ambayo ndio inayo sababisha muwasho na joto la pilipili. Pilipili inasaidia sana kusawazisha sukari kwenye damu Ulaji wa pilipili kunaweza kunawasaidia sana watu wanene (overweight) au wanao ugua ugonjwa wa kisukari. Hii ni kwa mujibu wa timu ya watafiti katika Chuo Kikuu cha Tasmania, utafiti iliyochapishwa katika American Journal of Clinical Nutrition, mwezi Julai 2006. Utafiti huo pia umeonyesha kwamba kawaida ya kula Pilipili kunaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti na kusawazisha insulini kwa 60%. baada ya kula chakula. Pilipili husaidia kupunguza maumizi na uvimbe kwenye tezi na vilevile huwasaidia wagonjwa wa rheumatoid na arthritis kupata nafuu. Vile vile husaidia kuondoa mkusanyiko wa damu sehemu moja ya mwili Pilipili usaidia kufungua kwa haraka na kwa...

PAPAI ZA KISASA TANZANIA

Image
Papai Malkia f1 hybrid ni papai ya mda mfupi miezi sita kwa sehemu zenye joto na miezi nane kwenye sehemu yenye baridi. Mti moja huzaa matunda 40-70 kwa msimu. Kwa wakulima wa kanda ya kaskazini tunasambaza miche, Watu waliopo kanda zingine tunasambaza mbegu. Mche Tsh 5000 inakuwa na cementer 20/30 Mbegu Tsh 30,000 inakuwa na mbegu 60/70   contact: 0752972727 formal.agro@gmail.com