Posts

Showing posts from May, 2013

ANGALIA HAPA MATOKEO YA FORM FOUR

Image
  http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/CSEE_2012/olevel.htm

JUA KIPAJICHAKO UFANIKIWE

Vijana wengi tumeshapitia au tunapitia kwenye kipindi kigumu sana maishani. Nina uhakika wengi wetu tumeshawahi kukosa usingizi wakati tupo kitandani na kubaki tu kuangalia dari na kujiuliza maswali mengi sana; nitafanya nini maishani? Mustakabali wa maisha yangu ni upi? Nitakuwa wapi baada ya miaka miwili, mitano au hata kumi? Bahati mbaya Watanzania hatuna hulka ya kujadili mambo kama haya kwa uwazi tukiwa na ndugu, jamaa na marafiki zetu. Na matokeo yake (tunaonekana kama) hatujifunzi kutoka kwa wenzetu — hili suala ndilo linalonipa misongo kwenye mijadala mbalimbali. Kwahiyo, ni matumaini yangu kuwa nasaha zilizopo kwenye makala hii zitabadilisha fikra za angalau kijana mmoja na kutambua kuwa maisha yake ya baadae yako kwenye viganja vyake! Kwa maneno mengine, wewe msomaji ndio mwenye uwezo mkubwa wa kuamua maisha yako huko mbeleni yaweje. Je, unajua una kipawa, kipaji au talanta ipi? Baada ya kumaliza elimu ya sekondari au chuo kikuu, ulikuwa au unajua unataka ufanye nini; uwe m...

FAHAMU HISTORIA YA MICHAEL JACKSON

Image
Michael Jackson History ( The King of Pop music in the world) Michael Jackson (August 29, 1958 – June 25, 2009), known as the "King Of Pop", was an American musician, and one of the most talented and celebrated artists in the history of music. His unique contributions to popular music and dance, along with a highly publicized and often controversial personal life, made him a prominent figure in popular culture for four decades. In this section, we bring you some of the most interesting historic facts about the life and music of the phenomenon that is Michael Jackson. Michael Jackson was born on August 29, 1958, in Gary, Indiana, to an African American family. His mother, Katherine Esther S cruse, was a devout Jehovah's Witness, and his father, Joseph Walter "Joe" Jackson, a steel mill worker who performed with an R&B band called The Falcons. Michael Jackson was born the Seventh of Nine Children. He had three sisters, Rebbie, La Toya...

FAHAMU FAIDA ZA UYOGA MWILINI NA JINSI YA KUZALISHA MPAKA SOKO LAKE

Image
KILIMO CHA UYOGA Miaka ya karibuni, utaalamu wa kuotesha uyoga umeanza hapa Tanzania baada ya watu kutilia maanani lishe bora ya protini na manufaa mengine ya zao hilo. Kwa kuwa uyoga upo wa aina mbalimbali, usitawishaji wake hutofautiana katika mahitaji yake, ikiwa ni pamoja na hali ya hewa, malighafi za kuoteshea, urahisi wa teknologia ya kuotesha katika mazingira ya Tanzania na soko lake kwa wananchi na katika hotel. Hata hivyo ni wananchi wachache tu wanaojua kilimo cha uyoga. Uyoga unaozalishwa unafahamika. Aina zinazofaa kwa Tanzania ni zile ambazo hustawi vizuri, kwenye maeneo ya joto la wastani wa nyuzi joto 20C hadi 33C. Kwa mfano uyoga aina ya mamama n.k. Aina hizi za uyoga pia uhitaji hali ya unyevu hewani (moisture) wa kiasi cha asilimia 75%. UOTESHAJI WA UYOGA Kabla ya kuanza kuzalisha uyoga inabidi kuwa na chumba chenye paa ambalo litazuia jua, mvua, na vumbi. Chumba hiki kinatakiwa kiwe na sakafu inayohifadhi unyevunyevu pamoja na sehemu ya giza ambayo ni muhimu kw...

FAHAMU NJIA 18 ZA UTAJIRI

Image
  Pichani Ni Warren Buffet ambaye ni mjasiriamali maarufu duniani pia anashika nafasi ya tatu ya watu wenye hela zaidi hapa Duniani. Leo katika safu hii nawaletea mbinu alizotumia huyu Tajiri namba tatu duniani katika kutimiza ndoto zake za kuweza kuwa tajiri, mjasiriamali na pia muwekezaji mkubwa hapa duniani, natumaini endapo ukazingatia hizi mbinu basi amini kwamba ndoto zako hazipo mbali kutumia kwa maana hakuna kinachoshindikana chini ya jua. 1.This is the most important thing “Rule No. 1: never lose money; rule No. 2: don’t forget rule No. 1″ 2.Be greedy when others are fearful “Investors should remember that excitement and expenses are their enemies. And if they insist on trying to time their participation in equities, they should try to be fearful when others are greedy and greedy only when others are fearful.” 3.Beware when investing turns into speculating “The line separating investment and speculation, which is never brig...

WELCOME

This will be our blog which will show many differents thinks which will help us to carryon well in our life. welcome and i hope when you will visit this blog you will move more step in you are life. GOOD BLESS YOU......