Posts

The Young African Millionaire Lighting Up Tanzania

Image
The Young African Millionaire Lighting Up Tanzania Patrick Ngowi, CEO, Helvetic Solar It’s 1:15 pm on a blistering hot Wednesday afternoon in Dar Es Salaam. Patrick Ngowi is seated in the lobby of the Hyatt Regency Hotel, patiently waiting for me to keep up with our lunch appointment. We had planned to meet for 12:30, but I had lost track of time. “You are finally here, my brother,” Ngowi smiles as he rises from his chair to welcome me as I approach him. For a 28 year-old Tanzanian who has built an $8 million (revenues) solar energy company, Ngowi certainly looks the part. He is impeccably dressed in a black suit, with the tip of Mont Blanc pen hanging out of his suit pocket. And he’s got a Mont Blanc watch adorning his left wrist and  Brioni  shoes to match. Ngowi has a remarkable story.  He is the CEO of  Helvetic Solar Contractors  – a Tanzanian company that supplies, installs and maintains solar systems throughout the northern ci...

Njia ya kupata fedha kwa uhuru

Kupitia  kuwa Afisa wa kampuni kubwa anayelipwa vizuri (Highly paid executive). Ukiwa mkurugenzi mkuu mtendaji wa TBL, CRDB, Cocacola, Vodacom etc mshahara wako ni milioni 20 au zaidi pamoja na marupurupu mengine ya kumwaga kila mwezi. Hivyo hawa mabosi tayari wana nafasi kubwa ya uhuru wa kifedha kama wataweka akiba na kuwekeza kwenye assets. Kama unavutiwa na njia hii jambo pekee ni kufanya bidii ya ‘kufufuka mtu and to ‘keep your nose clean’ throughout your career. Na uwe tayari, sometime, kufanya kazi kwa miaka mingi sana ili kufika juu. Asilimia 10 ya matajiri wote duniani wanatoka kundi hili. 2. Kupitia kuwa mwanataaluma aliyebobea. Flying doctors, (Think about the Ben Carsons of this world), wanasheria wakuu, top accountants etc! Wanalipwa vizuri. Hapa inabidi uwe umeenda shule kweli kweli ili ufike huko. Kama hauko vizuri darasani, huwezi ku win kwa njia hii. 10% ya matajiri wote wanatoka hapa. 3. Watu wa mauzo au mameneja wa mauzo. Hawa hufika juu kama wako kwenye m...

Njia ya kupata mtaji wa biashara kirahisi

Bila shaka msomaji wangu unaendelea vyema na shughuli zako za ujasiriamali. Mada ya njia za uhakika za kupata mtaji wa kuanzisha biashara ni ndefu lakini naamini kila siku unajifunza kitu kipya chenye manufaa makubwa kwako. Leo nataka kujadili nawe njia mpya ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ambayo naamini hata wewe unayelalamika kila siku kwamba huna mtaji, inaweza kukusaidia kujikwamua kutoka hapo ulipo. TUMIA PESA YA MTEJA KUANZISHA BIASHARA YAKO Unaweza kupata mtaji kwa kufikiri kwa utofauti na watu wengine. Katika njia hii ambayo kijasiriamali huitwa Customer Financing, mteja hukupatia pesa kwa ajili ya wewe kutengeneza bidhaa au huduma anayoihitaji. Kinachohitajika hapa ni uaminifu wa hali ya juu. Kuna biashara nyingi ambazo huu ndiyo huwa utaratibu wa uendeshwaji wa biashara ambapo mteja hutakiwa kulipa kwanza ndiyo bidhaa au huduma iandaliwe. Mfano, kama una kipaji cha kupika vizuri, unaweza kuanzisha biashara ya ‘catering’ au biashara ya kulisha watu kwenye matukio ...

Hakuna madhara kutumia mayai kwa wingi

Image
UTAFITI  uliofanywa nchini Marekani hivi karibuni unaonesha kuwa katika miaka ya 1950, wastani wa ulaji wa mayai ya kuku ulikuwa mayai 375 kwa mtu mmoja, lakini hadi kufikia mwaka 2007, kiwango hicho kimepungua hadi kufikia mayai 250 tu kwa mtu mmoja, ikiwa ni punguzo la asilimia 33. Sababu moja wapo ya kushuka kwa ulaji wa mayai imeelezwa kuwa, pamoja na sababu zingine, ni imani potofu kwamba mayai husababisha ugonjwa wa moyo na kwa wagonjwa wa moyo hawaruhusiwi kabisa kula mayai kwa madai kwamba yana kiwango kikubwa cha kolestro. Hata hivyo, tafiti kadhaa zilizofanyika kuhusiana na imani hiyo potofu zimeonesha HAKUNA uhusiano wowote kati ya kuongezeka kolestro mwilini na ulaji wa mayai na kwamba mayai HAYASABABISHI ugonjwa wa moyo, iwapo mayai hayo ni halisi. Katika siku za karibuni, tumeshuhudia kuibuka kwa ufugaji wa kuku kwa kiwango cha hali ya juu, ambapo kuku hufugwa kwa kulishwa vyakula na madawa maalum yanayowawezesha kukua ndani ya muda mfupi au kutoa mayai mengi. Ha...

pata mkopo kupitia Shirika la Efta bila kuweka rahani kwa kupeleka business idea

About EFTA EFA operates through a social enterprise in Tanzania. Our subsidiary uses standardised investment processes to keep transaction costs to a minimum, and processes are designed to prevent fraud. Business philosophy EFA has a social mission, but we believe in business: both as the solution to poverty, and as the best method to get there. We invest through our for-profit subsidiary Equity for Tanzania Ltd, which aims to be the most efficient small business investor in the market. Equity for Tanzania is a social business, aiming to have a high social impact while attracting commercial "impact investment". We target for-profit businesses which we believe are commercially viable, so that our social impact is more sustainable and we do not needlessly sacrifice financial returns. We endeavour to maintain ‘additionality’, so we do not crowd out development of commercial provision. We therefore target businesses that cannot get funding elsewhere.  Our effective in...

Nkurunziza atua Burundi, waasi watatu wakamatwa

Dar/Mashirika.  Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amewasili jijini Bujumbura ikiwa ni siku mbili baada ya waasi kutangaza kumuondoa madarakani na tayari majenerali watatu waliotangaza mapinduzi wamekamatwa huku wanajeshi 12 wakiuawa.http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2705586/highRes/681162/-/maxw/600/-/f818vdz/-/pierre.jpg Awali, kulikuwa na taarifa kuwa kiongozi wa uasi huo, Meja Jenerali Godefroid Niyombare alikuwa amekamatwa pamoja na wasaidizi wake, lakini baadaye mshauri wa habari wa rais, Willy Nyamwite alisema alipewa taarifa zisizo sahihi. Lakini wakati kukiwa na habari kuwa Meja Jenerali Niyombire amekamatwa, waasi hao wamesema wataendeleza vita dhidi ya majeshi ya Serikali kwa ajili ya kumuondoa Rais huyo ambaye anapingwa kutokana na kutangaza kugombea urais kwa mara ya tatu kinyume na katiba. “Amekamatwa, alikataa kujisalimisha,” Gervais Abayeho, msemaji wa Rais Nkuruzinza aliliambia Shirika la Habari la Uingereza, Reuters. Msafara wa Rais Nkurunz...

fahamu Jinsi yakuweka hisa

Msingi na ustadi wa kuwekeza kwenye Soko la Hisa JE ukiwa kama mwananchi wa kawaida usingependelea kuwa mmiliki wa kampuni bila ya kuwa na ulazima wa kufika kazini na kufanya kazi za kila siku? Hebu tafakari kwa kina, upo nyumbani kwako umepumzika au ukifanya shughuli zako nyingine na ukiiangalia kampuni yako inakua kwa ufanisi na tija na baada ya muda unachukua hundi yako ya gawio huku mtaji wako ukiendelea kukua kila kukicha. Jambo hili linaweza kuonekana kama ni njozi au ndoto, lakini ukweli ni kwamba lina ukweli usiopingika na jawabu lake ni kuwa na hisa hususani katika kampuni zilizoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Kwa hiyo ili kutimiza ndoto yako ya kukidhi mahitaji yako ya fedha na kuanza safari yako ya kumiliki kampuni kupitia Soko la Hisa unatakiwa kuwa na uelewa mzuri wa jinsi gani hisa zinavyouzwa na kununuliwa katika soko la hisa. Katika kipindi cha zaidi ya muongo mmoja uliopita, wananchi wengi wa kawaida nchini Tanzania wamekuwa na s...